Yeremia 8:7 BHN

7 Hata korongo anajua wakati wa kuhama;njiwa, mbayuwayu na koikoi,hufuata majira yao ya kurudi.Lakini watu wangu hawa hawajui kitujuu ya amri zangu mimi Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Yeremia 8

Mtazamo Yeremia 8:7 katika mazingira