Yobu 1:13 BHN

13 Ikawa siku moja, watoto wa kiume na wa kike wa Yobu walikuwa wanakula na kunywa pamoja nyumbani kwa kaka yao mkubwa.

Kusoma sura kamili Yobu 1

Mtazamo Yobu 1:13 katika mazingira