Yobu 1:15 BHN

15 Basi Wasabea wakatuvamia na kuwachukua wanyama na kuwaua watumishi kwa upanga. Mimi peke yangu nimenusurika ili kuja kukuarifu.”

Kusoma sura kamili Yobu 1

Mtazamo Yobu 1:15 katika mazingira