Yobu 1:3 BHN

3 alikuwa na kondoo 7,000, ngamia 3,000, jozi 500 za ng'ombe na punda majike 500; na watumishi wengi sana; yeye alikuwa mashuhuri kuliko watu wote huko mashariki.

Kusoma sura kamili Yobu 1

Mtazamo Yobu 1:3 katika mazingira