Yobu 10:1 BHN

1 “Nayachukia maisha yangu!Malalamiko yangu nitayasema bila kizuizi.Nitasema kwa uchungu wa moyo wangu.

Kusoma sura kamili Yobu 10

Mtazamo Yobu 10:1 katika mazingira