Yobu 16:4 BHN

4 Kama nyinyi mngekuwa mimi, na mimi nyinyi,ningeweza kusema kama nyinyiningeweza kubuni maneno dhidi yenu,na kutikisa kichwa changu.

Kusoma sura kamili Yobu 16

Mtazamo Yobu 16:4 katika mazingira