Yobu 2:13 BHN

13 Kisha wakaketi udongoni pamoja na Yobu kwa siku saba, mchana na usiku, bila kumwambia neno lolote kwani waliyaona mateso yake kuwa makubwa mno.

Kusoma sura kamili Yobu 2

Mtazamo Yobu 2:13 katika mazingira