Yobu 24:18 BHN

18 “Lakini mwasema:‘Waovu huchukuliwa haraka na mafuriko ya maji,makao yao hubaki kuwa nchi iliyolaaniwa;hakuna aendaye kwenye mashamba yao ya mizabibu.’

Kusoma sura kamili Yobu 24

Mtazamo Yobu 24:18 katika mazingira