Yobu 24:24 BHN

24 Waovu hufana kwa muda tu, kisha hutoweka,hunyauka na kufifia kama jani,hukatiliwa mbali kama masuke ya ngano.

Kusoma sura kamili Yobu 24

Mtazamo Yobu 24:24 katika mazingira