Yobu 3:9 BHN

9 Nyota zake za pambazuko zififie,utamani kupata mwanga, lakini usipate,wala usione nuru ya pambazuko.

Kusoma sura kamili Yobu 3

Mtazamo Yobu 3:9 katika mazingira