6 Basi, Elihu mwana wa Barakeli, wa kabila la Buzi akaanza kusema:“Mimi ni kijana, nyinyi ni wazee zaidi;kwa hiyo niliogopa kuwaambieni mawazo yangu.
Kusoma sura kamili Yobu 32
Mtazamo Yobu 32:6 katika mazingira