Yobu 33:26 BHN

26 Kisha atamwomba Mungu na kukubaliwa,atakuja mbele yake kwa furaha,na Mungu atamrudishia fahari yake.

Kusoma sura kamili Yobu 33

Mtazamo Yobu 33:26 katika mazingira