Yobu 34:20 BHN

20 Kufumba na kufumbua hao wamekufa;hutikiswa usiku na kuaga dunia;nao wenye nguvu hufutiliwa mbali bila kutumia nguvu za mtu.

Kusoma sura kamili Yobu 34

Mtazamo Yobu 34:20 katika mazingira