38 ili vumbi duniani igandamanena udongo ushikamane na kuwa matope?
39 “Je, waweza kumwindia simba mawindo yakeau kuishibisha hamu ya wana simba;
40 wanapojificha mapangoni mwao,au kulala mafichoni wakiotea?
41 Ni nani awapaye kunguru chakula chao,makinda yao yanaponililia mimi Mungu,na kurukaruka huku na huko kwa njaa?