Yobu 42:12 BHN

12 Katika miaka ya Yobu iliyofuata Mwenyezi-Mungu alimbariki zaidi kuliko hata alivyokuwa amembariki pale awali. Basi Yobu akawa na kondoo 14,000, ngamia 6,000, ng'ombe 2,000 na punda majike 1,000.

Kusoma sura kamili Yobu 42

Mtazamo Yobu 42:12 katika mazingira