Yobu 42:9 BHN

9 Basi, Elifazi Mtemani, Bildadi, Mshua na Sofari Mnaamathi, wakafanya kama Mwenyezi-Mungu alivyowaambia. Mwenyezi-Mungu akaipokea sala ya Yobu.

Kusoma sura kamili Yobu 42

Mtazamo Yobu 42:9 katika mazingira