21 Mbona hunisamehi kosa languna kuniondolea uovu wangu?Hivi punde nitalazwa chini kaburini,utanitafuta, lakini sitakuwapo tena!”
Kusoma sura kamili Yobu 7
Mtazamo Yobu 7:21 katika mazingira