Yobu 2:1 BHN

1 Ikatokea tena siku nyingine, malaika wa Mungu walikwenda kukutana mbele ya Mwenyezi-Mungu, naye Shetani akajitokeza pia pamoja nao.

Kusoma sura kamili Yobu 2

Mtazamo Yobu 2:1 katika mazingira