Yobu 2:2 BHN

2 Mwenyezi-Mungu akamwuliza Shetani, “Umetoka wapi wewe?” Naye Shetani akamjibu Mwenyezi-Mungu, “Nimetoka kutembeatembea na kuzungukazunguka duniani.”

Kusoma sura kamili Yobu 2

Mtazamo Yobu 2:2 katika mazingira