Isaya 1:11 BHN

11 Mwenyezi-Mungu asema hivi;“Wingi wa tambiko zenu ni kitu gani kwangu?Nimezichoka sadaka zenu za kondoo wa kuteketezwana mafuta ya wanyama wenu wanono.Sipendezwi na damu ya fahali,wala ya wanakondoo, wala ya beberu.

Kusoma sura kamili Isaya 1

Mtazamo Isaya 1:11 katika mazingira