Isaya 1:18 BHN

18 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Njoni, basi, tuhojiane.Ingawa mna madoa mekundu ya dhambi,mtatakaswa na kuwa weupe kama theluji;madoa yenu yajapokuwa mekundu kama damu,mtakuwa weupe kama sufu.

Kusoma sura kamili Isaya 1

Mtazamo Isaya 1:18 katika mazingira