26 Nitawapeni waamuzi wenu kama kwanzana washauri wenu kama pale awali.Ndipo Yerusalemu utakapoitwa ‘Mji wa Uadilifu’utaitwa ‘Mji Mwaminifu’”
Kusoma sura kamili Isaya 1
Mtazamo Isaya 1:26 katika mazingira