31 Wenye nguvu watakuwa kama majani makavu,matendo yao yatakuwa kama cheche za moto.Watateketea pamoja na matendo yao,wala hapatakuwa na mtu wa kuwaokoa.
Kusoma sura kamili Isaya 1
Mtazamo Isaya 1:31 katika mazingira