Isaya 10:6 BHN

6 Nilimtuma kuliadhibu taifa ovu,nilimwamuru kuwaadhibu watu niliowakasirikia,kuwapora na kuteka nyara,na kuwakanyaga chini kama tope njiani.

Kusoma sura kamili Isaya 10

Mtazamo Isaya 10:6 katika mazingira