4 Atawapatia haki watu maskini,atawaamulia sawasawa wanyonge nchini.Kwa neno lake ataiadhibu dunia,kwa tamko lake atawaua waovu.
Kusoma sura kamili Isaya 11
Mtazamo Isaya 11:4 katika mazingira