Isaya 11:7 BHN

7 Ngombe na dubu watakula pamoja,ndama wao watapumzika pamoja;na simba atakula majani kama ng'ombe.

Kusoma sura kamili Isaya 11

Mtazamo Isaya 11:7 katika mazingira