Isaya 13:13 BHN

13 Nitazitetemesha mbingunayo nchi itatikisika katika misingi yakekwa sababu ya ghadhabu yangu Mwenyezi-Mungusiku ile ya hasira yangu kali.

Kusoma sura kamili Isaya 13

Mtazamo Isaya 13:13 katika mazingira