Isaya 13:4 BHN

4 Sikilizeni kelele milimanikama za kundi kubwa la watu!Sikilizeni kelele za falme,na mataifa yanayokusanyika!Mwenyezi-Mungu wa majeshianalikagua jeshi linalokwenda vitani.

Kusoma sura kamili Isaya 13

Mtazamo Isaya 13:4 katika mazingira