Isaya 15:5 BHN

5 Moyo wangu unasononeka juu ya nchi ya Moabu;wakimbizi wake wanakimbilia Soari,wanakimbia mpaka Eglath-shelishiya.Wanapanda njia ya kwenda Luhithi wakilia,njiani kwenda Horonaimu wanatoa kilio cha maangamizi.

Kusoma sura kamili Isaya 15

Mtazamo Isaya 15:5 katika mazingira