Isaya 16:12 BHN

12 Watu wa Moabu wanapojitokeza kuabudu mungu wao,wanapojichosha huko juu mahali pa ibada,wanapokwenda mahali pao patakatifu kusali,hawatakubaliwa.

Kusoma sura kamili Isaya 16

Mtazamo Isaya 16:12 katika mazingira