Isaya 16:14 BHN

14 Lakini sasa Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Baada ya miaka mitatu kamili, ikihesabiwa kama mfanyakazi anavyohesabu siku zake, fahari ya Moabu itakwisha. Ingawa watu wake ni wengi, watakaobaki hai watakuwa wachache na wanyonge.”

Kusoma sura kamili Isaya 16

Mtazamo Isaya 16:14 katika mazingira