9 Kwa hiyo ninalia pamoja na Yazerikwa ajili ya mizabibu ya Sibma.Machozi yananitoka kwa ajili yenu,enyi miji ya Heshboni na Eleale;maana vigelegele vya mavuno ya matunda,vigelegele vya mavuno ya nafaka vimetoweka.
Kusoma sura kamili Isaya 16
Mtazamo Isaya 16:9 katika mazingira