Isaya 19:1 BHN

1 Kauli ya Mungu dhidi ya nchi ya Misri.“Mwenyezi-Mungu amepanda juu ya wingu liendalo kasina kuja mpaka nchi ya Misri.Sanamu za miungu ya Wamisri zitatetemeka mbele yake,mioyo ya Wamisri itayeyuka kwa hofu.

Kusoma sura kamili Isaya 19

Mtazamo Isaya 19:1 katika mazingira