Isaya 19:14 BHN

14 Mwenyezi-Mungu amewamwagia hali ya vurugu,wakawapotosha Wamisri katika mipango yao yote,wakawa kama mlevi anayeyumbayumba akitapika.

Kusoma sura kamili Isaya 19

Mtazamo Isaya 19:14 katika mazingira