16 Siku ile watu wa Misri wataogopa kama wanawake. Watatetemeka kwa hofu watakapomwona Mwenyezi-Mungu wa majeshi ameunyosha mkono wake dhidi yao.
Kusoma sura kamili Isaya 19
Mtazamo Isaya 19:16 katika mazingira