Isaya 19:23 BHN

23 Wakati huo, kutakuwa na barabara kuu kutoka nchi ya Misri hadi nchi ya Ashuru. Waashuru watawatembelea Wamisri, na Wamisri watawatembelea Waashuru; nao wote watamwabudu Mungu pamoja.

Kusoma sura kamili Isaya 19

Mtazamo Isaya 19:23 katika mazingira