Isaya 19:8 BHN

8 Wavuvi watalia na kuomboleza,wote watumiao ndoana watalalama;wote wanaotanda nyavu majini watakufa moyo.

Kusoma sura kamili Isaya 19

Mtazamo Isaya 19:8 katika mazingira