Isaya 2:11 BHN

11 Siku yaja ambapo kiburi cha watu kitashushwa,majivuno ya kila mtu yatavunjwa;na Mwenyezi-Mungu peke yake atatukuzwa siku hiyo.

Kusoma sura kamili Isaya 2

Mtazamo Isaya 2:11 katika mazingira