19 Ingieni katika mapango miambani,katika mashimo ardhini,kuiepa hasira ya Mwenyezi-Mungu,mbali na utukufu wa enzi yake,atakapokuja kuitia hofu dunia.
Kusoma sura kamili Isaya 2
Mtazamo Isaya 2:19 katika mazingira