Isaya 2:21 BHN

21 Nao wataingia katika mapango miambanina kwenye nyufa za miamba,kuiepa hasira ya Mwenyezi-Mungu,mbali na utukufu wa enzi yake,atakapokuja kuitia hofu dunia.

Kusoma sura kamili Isaya 2

Mtazamo Isaya 2:21 katika mazingira