Isaya 2:4 BHN

4 Mungu atasuluhisha mizozo ya mataifaatakata mashauri ya watu wengi.Watu watafua panga za vita kuwa majembena mikuki yao kuwa miundu ya kupogolea.Taifa halitapigana na taifa linginewala hayatafanya tena mazoezi ya vita.

Kusoma sura kamili Isaya 2

Mtazamo Isaya 2:4 katika mazingira