Isaya 2:8 BHN

8 Nchi yao imejaa vinyago vya miungu,huabudu kazi ya mikono yao,vitu walivyotengeneza wao wenyewe.

Kusoma sura kamili Isaya 2

Mtazamo Isaya 2:8 katika mazingira