5 Chakula kimetayarishwa,shuka zimetandikwa,sasa watu wanakula na kunywa.Ghafla, sauti inasikika:“Inukeni enyi watawala!Wekeni silaha tayari!”
Kusoma sura kamili Isaya 21
Mtazamo Isaya 21:5 katika mazingira