Isaya 22:12 BHN

12 Siku hiyo, Mwenyezi-Mungu, wa majeshialiwataka mlie na kuomboleza,mnyoe nywele na kuvaa mavazi ya gunia.

Kusoma sura kamili Isaya 22

Mtazamo Isaya 22:12 katika mazingira