Isaya 23:18 BHN

18 Fedha utakayopata itawekwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu. Mji wenyewe hautafaidika kwa fedha hiyo ila wale wanaomwabudu Mwenyezi-Mungu wataitumia kununulia chakula kingi na mavazi mazuri.

Kusoma sura kamili Isaya 23

Mtazamo Isaya 23:18 katika mazingira