Isaya 23:4 BHN

4 Aibu kwako ewe Sidoni,mji wa ngome kando ya bahari!Bahari yenyewe yatangaza:“Sijapata kuwa na uchungu wa kuzaa,wala sijawahi kuzaa;sijawahi kulea wavulana,wala kutunza wasichana!”

Kusoma sura kamili Isaya 23

Mtazamo Isaya 23:4 katika mazingira