Isaya 23:8 BHN

8 Ni nani aliyepanga mambo haya dhidi ya Tiro,mji uliowatawaza wafalme,wafanyabiashara wake walikuwa wakuu,wakaheshimiwa duniani kote?

Kusoma sura kamili Isaya 23

Mtazamo Isaya 23:8 katika mazingira