Isaya 24:16 BHN

16 Tunasikia nyimbo za sifa kutoka miisho ya dunia,nyimbo za kumsifu Mungu aliye mwadilifu.Lakini mimi ninanyongonyea,naam, ninanyongonyea.Ole wangu mimi!Wasaliti wanaendelea kuwa wasaliti,usaliti wao unazidi kuwa mbaya zaidi.

Kusoma sura kamili Isaya 24

Mtazamo Isaya 24:16 katika mazingira