Isaya 24:18 BHN

18 Atakayeikimbia hofu atatumbukia shimoni;atakayetoka shimoni atanaswa mtegoni.Madirisha ya mbinguni yamefunguliwa,misingi ya dunia inatikisika.

Kusoma sura kamili Isaya 24

Mtazamo Isaya 24:18 katika mazingira