Isaya 24:2 BHN

2 Kila mtu atapatwa na mambo yaleyale:Mtu wa kawaida na kuhani;mtumwa na bwana wake;mjakazi na bibi yake;mnunuzi na mwuzaji;mkopeshaji na mkopaji;mdai na mdaiwa.

Kusoma sura kamili Isaya 24

Mtazamo Isaya 24:2 katika mazingira